KEVOO STUDIO

PROFESSIONAL CINEMATOGRAPHY

Book Now View Gallery
KEVOO

KEVOO

Director

Kuhusu Sisi

Karibu KEVOO STUDIO, kituo chako bora kwa ajili ya kazi za kisasa za picha na video. Tuna utaalamu wa hali ya juu katika uandaji wa filamu, matangazo ya biashara, kurekodi matukio ya kijamii kama harusi, na huduma za kisasa za Drone. Lengo letu ni kugeuza ndoto yako kuwa picha halisi zenye ubora wa kimataifa.