Karibu kwenye ukurasa wa matangazo ya moja kwa moja (Live Streaming) kutoka Kevoo Studio. Hapa tunaleta matukio yote muhimu, harusi, mikutano, na matamasha kiganjani mwako kwa ubora wa juu.