Vifaa Tunavyotumia

DJI RC2 Drone

DJI RC2 Drone

Aerial shots za 4K kwa Live Stream.

8K Cinema Camera

8K Cinema Camera

Ubora wa picha za juu kabisa.

Studio Lighting

Studio Lighting

Taa za kisasa kwa photoshoot.

Lens 85 Sigma

Lens 85 Sigma Art

Lenzi bora kwa picha kali za "Portrait".

Ronin RS4 Pro Gimbal

Uimara wa hali ya juu kwa kamera za sinema.

Ronin RS3

Ronin RS3 Gimbal

Utulivu wa picha wakati wa kurekodi video.

Gimbal Stabilizer

Gimbal Stabilizer

Picha tulivu zisizo na mitikisiko.

Audio Gear

Wireless Microphones

Sauti safi kwa mahojiano na matukio.

Video Switcher

Live Stream Switcher

Usimamizi wa kamera nyingi kwa wakati mmoja.

Sony A7iii

Sony Alpha A7iii

Kamera bora ya Mirrorless kwa picha na video.

Lens Canon

Lens 24-70 Canon

Lenzi bora kwa matukio na picha za karibu.

NX200

NX200 Camera

Kamera ya kisasa kwa kazi za kitaalamu.

Sony A7RIV

Sony A7RIV

Ubora wa picha wa hali ya juu (High Resolution).

DJI Mini 5

Drone DJI Mini 5 Pro

Drone ndogo yenye uwezo mkubwa wa 4K.

DJI Flip

Drone DJI Flip

Inatumika kwa shots za haraka na za kipekee.

DJI Mini 3

Drone DJI Mini 3

Aerial shots safi kwa matukio madogo na makubwa.

DJI Mini 2 Pro

Drone DJI Mini 2 Pro

Ufanisi na wepesi katika kuchukua picha za juu.

Strobe AD600

Strobe AD600

Taa yenye nguvu kwa ajili ya picha za nje na ndani.

Soft Box

Soft Box

Kwa ajili ya strobe na speed light kupata mwanga laini.

Zoom H8

Zoom H8 Audio Recorder

Rekoda ya sauti kwa ajili ya studio na field.

5D Mark III

5D Mark III

Kamera maarufu kwa picha bora za harusi.

Lens 50mm

Lens 50mm (Canon/Nikon)

Lenzi bora kwa picha za "Portrait ".

TV 65

TV Hisense 65"

Kwa ajili ya kuhakiki kazi (Monitoring) kubwa.

TV 65

TV Mewe 65"

Onyesho kubwa la kazi kwa wateja wetu.

TV 55

TV Boss 55"

Kioo cha kisasa kwa ajili ya studio monitoring.

TV 55

TV Hisense 55"

Ubora wa picha safi wakati wa kurekodi.

LED Setup

LED Full Setup Light

Taa kamili za LED kwa video za studio.

360 Booth

360 Booth

Video za duara za kisasa kwa ajili ya sherehe.

Fog Machine

Fog Machine

Moshi wa bandia kwa ajili ya madoido ya video.

Fire Machine

Fire Machine

Madoido ya moto kwa ajili ya matukio makubwa.

Video Editing

Video Editing Suite

Mifumo ya kisasa ya kuhariri video zako.

Blackmagic 8k

Black Magic 8K

Kamera ya sinema kwa picha zenye rangi halisi.

GoPro

Go Pro Camera

Kamera ndogo kwa ajili ya video za haraka na majini.